Kua star utastart na kustir crowd ya mtaa

Ndio ufikie kupaa yafaa ucrawl, urun then ukifly utaenda far

Anza na kuappreciate Yale masafa Umeenda ukisuffer Kwa masufferer

Kuradiana kwa group za whatsapp na fb

Kukatiana Kwa corridors za ABB na HB

Kuthrow stones na kuinhale tear gas kimoja

Kurun tao, stage na makanga kimoja

Kula ndunya za biz, vihoja

Motivated by the spirit of brotherhood and love

We have wedged war with the law  just to protect our own

That’s the spirit that put the U in KIBU

KIBA inafaa ndo maana ulijoin

KIBU ni unique Ndio maana tuliicoine

KIBA inajulikana East Africa

Taikwondo, futa, drama na kadhalika

Tunaflow nicest tukiwrite tightest

Tutamake em loss it through sports na acadamia

Nut ngumu kucrack ka macadamia

Eti nani kaibiwa? Alikua dem ya?

KIBA inafaa na ndo maana ulijoin

KIBU ni unique Ndio manana tuliicoine

Kiba inadeliver

Kwa hii race inaburn liver

Am not just saying kudai sifa

Am just saying so you decipher why we always on top

Why we play with the Corps

Why we sell like Forbes

It’s because we are dope

I can’t say nothing about the admin

For some reasons known to me

But buildings are state of the art ka logo ya Big K.A.T

Just 6 years in the game but you already feel the name

Kiba inafaa ndo maana ulijoin

KIBU ni unique na ndo maana tuliicoine

By Sikanga

KIBA Inafaa Ndo Maana Ulijoin