Mkuu wa idara ya michezo bwana Amwanzo amefungua rasmi michuano ya kombe la Amwanzo. Michuano hii iliyoasisiwa na kufadhiliwa na idara ya michezo,ina nia ya kuleta iwiano na umoja kati ya wanafunzi chuoni. Jumla ya timu kumi hushiriki michuano hii.

Akiyafungua rasmi michuano hiyo bwana Amwanzo alisema kuwa michuano hii itahakikisha kuwa Kuna uwiano mzuri Kati ya hizi timu kumi za wanafunzi wa hiki. Timu itakayoshinda watajiondokea na kitita cha elfu tano pesa taslimu.

Na Ammar Kassim

Michuano Ya Amwanzo Yafunguliwa Rasmi

Michuano Ya Amwanzo Yafunguliwa Rasmi